Ezra 7:12
Ezra 7:12 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Artashasta, mfalme wa wafalme, kwa Ezra, kuhani, mwandishi wa torati ya Mungu wa mbinguni, salamu kamili; wakadhalika.
Shirikisha
Soma Ezra 7Ezra 7:12 Biblia Habari Njema (BHN)
“Kutoka kwa Artashasta, mfalme wa wafalme, kwa Ezra, kuhani na mtu mwenye ujuzi katika sheria ya Mungu wa mbinguni; Wasalaam!”
Shirikisha
Soma Ezra 7Ezra 7:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Artashasta, mfalme wa wafalme, kwa Ezra, kuhani, mwandishi wa Torati ya Mungu wa mbinguni, wasalamu; na kadhalika.
Shirikisha
Soma Ezra 7