Ezra 4:5
Ezra 4:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Tena waliwahonga maofisa wa serikali ya Persia wawapinge Wayahudi. Waliendelea kufanya hivyo muda wote wa utawala wa Koreshi, mpaka wakati wa utawala wa Dario.
Shirikisha
Soma Ezra 4Ezra 4:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wakawahonga maofisa, ili kuwakatisha tamaa katika mpango wao, siku zote za Koreshi, mfalme wa Uajemi, hata wakati wa kutawala kwake Dario, mfalme wa Uajemi.
Shirikisha
Soma Ezra 4