Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ezra 4:20 - Compare All Versions

Ezra 4:20 BHN (Biblia Habari Njema)

Wafalme wenye nguvu wamepata kuutawala mji huo pamoja na mkoa wa magharibi ya Eufrate wakitoza kodi, ushuru na ada.

Shirikisha
Ezra 4 BHN

Ezra 4:20 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Tena walikuwako wafalme wakuu juu ya Yerusalemu, waliotawala nchi yote iliyo ng'ambo ya Mto; wakapewa kodi, na ada, na ushuru.

Shirikisha
Ezra 4 SRUV

Ezra 4:20 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Tena walikuwako wafalme wakuu juu ya Yerusalemu, waliotawala nchi yote iliyo ng’ambo ya Mto; wakapewa kodi, na ada, na ushuru.

Shirikisha
Ezra 4 SUV

Ezra 4:20 NEN (Neno)

Yerusalemu umepata kuwa na wafalme wenye nguvu wakitawala nchi yote iliyo Ngʼambo ya Mto Frati, wakitoza kodi, ada na ushuru huko.

Shirikisha
Ezra 4 NEN