Ezra 3:4
Ezra 3:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Waliiadhimisha sikukuu ya vibanda kama ilivyoandikwa katika sheria; kila siku walitoa sadaka za kuteketezwa zilizohitajika kwa ajili ya siku hiyo.
Shirikisha
Soma Ezra 3Ezra 3:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wakaishika sikukuu ya vibanda, kama ilivyoandikwa, wakatoa sadaka za kuteketezwa za kila siku kwa hesabu yake, kama ilivyoagizwa, kama ilivyopasa kila siku
Shirikisha
Soma Ezra 3