Ezra 3:13
Ezra 3:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Watu hawakuweza kutofautisha kati ya sauti za furaha na za kilio kwa sababu zilikuwa nyingi na zilisikika mbali sana.
Shirikisha
Soma Ezra 3Ezra 3:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
hata watu wasiweze kupambanua kelele za furaha, na kelele za vilio vya watu; maana watu walipiga kelele kwa sauti kuu, na kelele zao zikasikika mbali sana.
Shirikisha
Soma Ezra 3