Ezra 3:1
Ezra 3:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Baadaye mwezi wa saba ulipofika, na watu wa Israeli wakiwa wamekwisha kaa katika miji yao, wote walikusanyika pamoja mjini Yerusalemu.
Shirikisha
Soma Ezra 3Ezra 3:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hata ulipowadia mwezi wa saba, na wana wa Israeli walipokuwa katika miji yao, watu wakakusanyika pamoja huko Yerusalemu.
Shirikisha
Soma Ezra 3