Ezra 10:44
Ezra 10:44 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Hao wote walikuwa wameoa wanawake wageni; na wake zao wengine walikuwa wamezaa watoto.
Shirikisha
Soma Ezra 10Ezra 10:44 Biblia Habari Njema (BHN)
Wanaume hawa wote walikuwa wameoa wanawake wa kigeni. Basi wakawaacha wanawake hao pamoja na watoto wao.
Shirikisha
Soma Ezra 10