Ezekieli 9:7
Ezekieli 9:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Akawaambia, “Tieni unajisi nyumba ya Mwenyezi-Mungu kwa kuzijaza nyua zake maiti. Songeni mbele.” Basi, wakaenda, wakawaua watu mjini.
Shirikisha
Soma Ezekieli 9Ezekieli 9:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akawaambia, itieni nyumba unajisi, mkazijaze nyua mizoga ya hao waliouawa; haya, nendeni. Wakaenenda, wakaua watu katika mji.
Shirikisha
Soma Ezekieli 9