Ezekieli 44:1
Ezekieli 44:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Yule mtu akanirudisha kwenye lango la nje linaloelekea mashariki, nje ya patakatifu, nalo lilikuwa limefungwa.
Shirikisha
Soma Ezekieli 44Ezekieli 44:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Yule mtu akanirudisha kwenye lango la nje linaloelekea mashariki, nje ya patakatifu, nalo lilikuwa limefungwa.
Shirikisha
Soma Ezekieli 44Ezekieli 44:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kisha akanirudisha kwa njia ya lango lile la nje, la mahali patakatifu lililoelekea upande wa mashariki; nalo lilikuwa limefungwa.
Shirikisha
Soma Ezekieli 44