Ezekieli 37:1
Ezekieli 37:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Mimi Ezekieli nilikumbwa na uzito wa nguvu ya Mwenyezi-Mungu, naye akaninyanyua kwa roho yake na kuniweka katika bonde lililokuwa limejaa mifupa.
Shirikisha
Soma Ezekieli 37Ezekieli 37:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mkono wa BWANA ulikuwa juu yangu, naye akanichukua nje katika Roho ya BWANA, akaniweka chini, katikati ya bonde; nalo lilikuwa limejaa mifupa
Shirikisha
Soma Ezekieli 37