Ezekieli 2:7-8
Ezekieli 2:7-8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nawe utawaambia maneno yangu, iwe watasikia au hawataki kusikia; maana hao wanaasi sana. Bali wewe, mwanadamu, sikia neno hili ninalokuambia; usiwe wewe mwenye kuasi kama nyumba ile yenye kuasi; funua kinywa chako, ule nikupacho.
Ezekieli 2:7-8 Biblia Habari Njema (BHN)
Wewe utawaambia maneno yangu, hata kama watasikia au hawatasikia, maana wao ni watu waasi. “Lakini ewe mtu, sikiliza ninayokuambia, wala usiwe mwasi kama watu hao. Fumbua kinywa chako, ule ninachokupa.”
Ezekieli 2:7-8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nawe utawaambia maneno yangu, iwe watasikia au hawataki kusikia; maana hao wanaasi sana. Bali wewe, mwanadamu, sikia neno hili ninalokuambia; usiwe wewe mwenye kuasi kama nyumba ile yenye kuasi; funua kinywa chako, ule nikupacho.
Ezekieli 2:7-8 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nawe utawaambia maneno yangu, kwamba watasikia, au kwamba hawataki kusikia; maana hao wanaasi sana. Bali wewe, mwanadamu, sikia neno hili ninalokuambia; usiwe wewe mwenye kuasi kama nyumba ile yenye kuasi; funua kinywa chako, ule nikupacho.