Ezekieli 2:1-2
Ezekieli 2:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Naye akaniambia, “Wewe mtu! Simama wima. Nataka kuongea nawe.” Alipokuwa akiongea nami, roho ya Mungu ikaniingia na kunisimamisha wima. Ndipo nikamsikia
Shirikisha
Soma Ezekieli 2Ezekieli 2:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akaniambia, Mwanadamu, simama kwa miguu yako, nami nitasema nawe. Naye aliposema nami, roho ikaniingia, ikanisimamisha; nikamsikia yeye aliyesema nami.
Shirikisha
Soma Ezekieli 2