Ezekieli 12:28
Ezekieli 12:28 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
“Kwa hiyo, waambie, ‘Hili ndilo asemalo BWANA Mwenyezi: Hakuna maneno yangu yatakayocheleweshwa tena zaidi, lolote nisemalo litatimizwa, asema BWANA Mwenyezi.’ ”
Shirikisha
Soma Ezekieli 12Ezekieli 12:28 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi uwaambie, Bwana MUNGU asema hivi; Maneno yangu hayatakawilishwa tena hata moja, bali neno nitakalolinena litatimizwa, asema Bwana MUNGU.
Shirikisha
Soma Ezekieli 12Ezekieli 12:28 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa hiyo waambie, kwamba mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema kuwa maneno yangu yote yatatimia karibuni. Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nimesema!”
Shirikisha
Soma Ezekieli 12Ezekieli 12:28 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi uwaambie, Bwana MUNGU asema hivi; Maneno yangu hayatakawilishwa tena hata moja, bali neno nitakalolinena litatimizwa, asema Bwana MUNGU.
Shirikisha
Soma Ezekieli 12