Ezekieli 1:1
Ezekieli 1:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Mnamo siku ya tano ya mwezi wa nne, mwaka wa thelathini, nilikuwa Babuloni kwenye mto Kebari miongoni mwa wale watu waliopelekwa uhamishoni. Basi, mbingu zilifunguka, nikaona maono ya Mungu.
Shirikisha
Soma Ezekieli 1Ezekieli 1:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ikawa katika mwaka wa thelathini, mwezi wa nne, siku ya tano ya mwezi, nilipokuwa pamoja na watu waliohamishwa, karibu na mto Kebari, mbingu zilifunuka, nikaona maono ya Mungu.
Shirikisha
Soma Ezekieli 1