Kutoka 9:7
Kutoka 9:7 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Farao akatuma watu, na tazama, hapana mmoja aliyekufa katika wanyama wa wana wa Israeli. Lakini moyo wa Farao ulikuwa mzito, wala hakuwapa hao watu ruhusa waende zao.
Shirikisha
Soma Kutoka 9Kutoka 9:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Farao akauliza habari juu ya wanyama wa Waisraeli, akaambiwa kuwa hakuna mnyama wao hata mmoja aliyekufa. Hata hivyo, Farao akabaki mkaidi, wala hakuwaruhusu Waisraeli waondoke.
Shirikisha
Soma Kutoka 9Kutoka 9:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Farao akatuma watu, na tazama, hapana mmoja aliyekufa katika wanyama wa wana wa Israeli. Lakini moyo wa Farao ulikuwa mzito, wala hakuwapa hao watu ruhusa waende zao.
Shirikisha
Soma Kutoka 9