Kutoka 9:29
Kutoka 9:29 Biblia Habari Njema (BHN)
Mose akamwambia, “Mara tu nitakapotoka nje ya mji nitainua mikono na kumwomba Mwenyezi-Mungu. Ngurumo itakoma na hakutakuwa na mvua ya mawe tena ili utambue kwamba dunia ni yake Mwenyezi-Mungu.
Shirikisha
Soma Kutoka 9Kutoka 9:29 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Musa akamwambia, Mara nitakapotoka mjini nitamwinulia BWANA mikono yangu; na hizo ngurumo zitakoma, wala haitanyesha mvua ya mawe tena; ili upate kujua ya kuwa dunia hii ni ya BWANA.
Shirikisha
Soma Kutoka 9