Kutoka 9:13
Kutoka 9:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha, Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Kesho, amka alfajiri na mapema umwendee Farao, umwambie kwamba mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Waebrania, nasema hivi, ‘Waache watu wangu waondoke ili wakanitumikie.
Shirikisha
Soma Kutoka 9Kutoka 9:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA akamwambia Musa, Ondoka asubuhi na mapema, ukasimame mbele ya Farao, umwambie, BWANA, Mungu wa Waebrania, asema, Wape watu wangu ruhusa waende ili wanitumikie.
Shirikisha
Soma Kutoka 9