Kutoka 8:6
Kutoka 8:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Aroni akanyosha fimbo yake juu ya maji yote, vyura wakatokea na kuifunika nchi nzima ya Misri.
Shirikisha
Soma Kutoka 8Kutoka 8:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi Haruni akaunyosha mkono wake juu ya maji yote ya Misri; na hao vyura wakakwea juu, wakaifunika nchi ya Misri.
Shirikisha
Soma Kutoka 8