Kutoka 8:10
Kutoka 8:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Farao akamwambia, “Kesho.” Mose akasema, “Nitafanya kama unavyosema, ili ujue kwamba hakuna yeyote anayelingana na Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu.
Shirikisha
Soma Kutoka 8Kutoka 8:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akamwambia, Kesho, Akasema, Na yawe kama neno lako; ili upate kujua ya kwamba hapana mwingine mfano wa BWANA, Mungu wetu.
Shirikisha
Soma Kutoka 8