Kutoka 7:17
Kutoka 7:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Mwenyezi-Mungu asema kwamba sasa utamtambua yeye ni nani. Nitayapiga maji ya mto Nili kwa fimbo hii, na maji yote yatageuka kuwa damu.
Shirikisha
Soma Kutoka 7Kutoka 7:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA asema, Katika jambo hili utanijua ya kuwa mimi ndimi BWANA; tazama, nitayapiga haya maji yaliyo mtoni kwa fimbo hii niliyo nayo mkononi mwangu, nayo yatageuzwa kuwa damu.
Shirikisha
Soma Kutoka 7