Kutoka 7:11-12
Kutoka 7:11-12 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ndipo Farao naye akawaita wenye akili na wachawi; na hao waganga wa Misri wakafanya vivyo kwa uganga wao. Wakabwaga chini kila mtu fimbo yake, nazo zikawa nyoka; lakini fimbo ya Haruni ikazimeza fimbo zao.
Shirikisha
Soma Kutoka 7Kutoka 7:11-12 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini, Farao akawaita wenye hekima wake na wachawi; hao wachawi wa Misri wakafanya vivyo hivyo kwa uchawi wao. Kila mmoja akaitupa fimbo yake chini, ikawa nyoka. Lakini fimbo ya Aroni ikazimeza fimbo zao.
Shirikisha
Soma Kutoka 7Kutoka 7:11-12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo Farao naye akawaita wajuzi na wachawi; na hao waganga wa Misri wakafanya vivyo hivyo kwa uganga wao. Wakabwaga chini kila mtu fimbo yake, nazo zikawa nyoka; lakini fimbo ya Haruni ikazimeza fimbo zao.
Shirikisha
Soma Kutoka 7