Kutoka 6:7
Kutoka 6:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitawafanyeni kuwa watu wangu, nami nitakuwa Mungu wenu. Nyinyi mtatambua kuwa mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, niliyewatoa katika nira za Wamisri.
Shirikisha
Soma Kutoka 6Kutoka 6:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
nami nitawatwaeni kuwa watu wangu, nitakuwa Mungu kwenu; nanyi mtajua ya kuwa mimi ni YEHOVA, Mungu wenu, niwakomboaye mtoke chini ya mizigo ya Wamisri.
Shirikisha
Soma Kutoka 6