Kutoka 5:2
Kutoka 5:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini Farao akawauliza, “Ni nani huyo Mwenyezi-Mungu, hata nimsikilize na kuwaacha Waisraeli waondoke? Mimi simtambui huyo Mwenyezi-Mungu, wala sitawaruhusu Waisraeli waondoke.”
Shirikisha
Soma Kutoka 5Kutoka 5:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Farao akasema, BWANA ni nani, hata niisikilize sauti yake, na kuwapa Israeli ruhusa waende zao? Mimi simjui BWANA, wala sitawapa Israeli ruhusa waende zao.
Shirikisha
Soma Kutoka 5