Kutoka 4:6
Kutoka 4:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA akamwambia tena, Sasa tia mkono wako kifuani mwako. Akautia mkono wake kifuani mwake; naye alipoutoa, kumbe! Mkono wake ulikuwa una ukoma, umekuwa mweupe kama theluji.
Shirikisha
Soma Kutoka 4Kutoka 4:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Tena, Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Ingiza mkono wako kifuani mwako.” Mose akafanya hivyo, lakini alipoutoa nje, kumbe ukawa na ukoma; mweupe kama theluji.

Soma Kutoka 4Kutoka 4:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)

Soma Kutoka 4