Kutoka 4:26
Kutoka 4:26 Biblia Habari Njema (BHN)
Hapo Mwenyezi-Mungu akamwacha Mose. Zipora alikuwa amesema, “Bwana harusi wa damu,” kwa sababu ya kutahiri.
Shirikisha
Soma Kutoka 4Kutoka 4:26 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi akamwacha. Ndipo huyo mkewe akanena, U bwana arusi wa damu wewe, kwa ajili ya kutahiri.
Shirikisha
Soma Kutoka 4