Kutoka 4:23
Kutoka 4:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Nami nakuambia: Mwache mwanangu aondoke, ili anitumikie! Kama ukikataa kumwachia aondoke, tazama nitamuua mzaliwa wako wa kwanza wa kiume.’”
Shirikisha
Soma Kutoka 4Kutoka 4:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
nami nimekuambia, Mpe mwanangu ruhusa aende, ili apate kunitumikia, nawe umekataa kumpa ruhusa aende; angalia basi, mimi nitamwua mwanao, mzaliwa wa kwanza wako.
Shirikisha
Soma Kutoka 4