Kutoka 4:18
Kutoka 4:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Mose alirudi kwa Yethro, baba mkwe wake, akamwambia, “Tafadhali niruhusu nirudi Misri kwa ndugu zangu, nikaone kama bado wako hai.” Yethro akamwambia, “Nenda kwa amani.”
Shirikisha
Soma Kutoka 4Kutoka 4:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi Musa akaenda na kurejea kwa Yethro mkwewe, na kumwambia, Nipe ruhusa niende, nakusihi, niwarudie hao ndugu zangu walioko Misri, nipate kuwaona kwamba wako hai hata sasa. Yethro akamwambia Musa, Haya, nenda kwa amani.
Shirikisha
Soma Kutoka 4Kutoka 4:18 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)

Soma Kutoka 4