Kutoka 4:10
Kutoka 4:10 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Musa akamwambia BWANA, “Ee Bwana, kamwe sijapata kuwa msemaji kwa ufasaha hapo awali, wala tangu ulipoanza kuzungumza na mtumishi wako. Ulimi wangu ni mzito kuzungumza.”
Shirikisha
Soma Kutoka 4Kutoka 4:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini Mose akamwambia Mwenyezi-Mungu, “Ewe Bwana wangu, mimi sina ufasaha wa kuongea tangu zamani; hata baada ya wewe kusema nami mtumishi wako. Ulimi wangu ni mzito.”
Shirikisha
Soma Kutoka 4Kutoka 4:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Musa akamwambia BWANA Ee Bwana, mimi si msemaji, tokea zamani, wala tokea hapo uliposema na mtumishi wako; maana mimi si mwepesi wa kusema, na ulimi wangu ni mzito.
Shirikisha
Soma Kutoka 4