Kutoka 33:6
Kutoka 33:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Waisraeli waliyavua mapambo yao tangu walipoondoka mlimani Horebu.
Shirikisha
Soma Kutoka 33Kutoka 33:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi wana wa Israeli wakavua mapambo yao, tangu mlima wa Horebu na mbele.
Shirikisha
Soma Kutoka 33