Kutoka 32:7
Kutoka 32:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Teremka chini kwa maana watu wako uliowaleta kutoka nchini Misri wamejipotosha wenyewe
Shirikisha
Soma Kutoka 32Kutoka 32:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA akamwambia Musa, Haya! Shuka; kwa maana watu wako uliowatoa katika nchi ya Misri wamejiharibu nafsi zao
Shirikisha
Soma Kutoka 32