Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 32:17 - Compare All Versions

Kutoka 32:17 BHN (Biblia Habari Njema)

Yoshua aliposikia kelele za watu, akamwambia Mose, “Kuna kelele za vita kambini.”

Shirikisha
Kutoka 32 BHN

Kutoka 32:17 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Na Yoshua aliposikia kelele za watu walipokuwa wakipiga kelele, akamwambia Musa, Kuna kelele ya vita maragoni.

Shirikisha
Kutoka 32 SUV

Kutoka 32:17 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Na Yoshua aliposikia kelele za watu walipokuwa wakipiga kelele, akamwambia Musa, Kuna kelele ya vita kambini.

Shirikisha
Kutoka 32 SRUV

Kutoka 32:17 NEN (Neno)

Yoshua aliposikia sauti za watu wakipiga kelele, akamwambia Musa, “Kuna sauti ya vita kambini.”

Shirikisha
Kutoka 32 NEN