Kutoka 30:13
Kutoka 30:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Kila mmoja atakayehesabiwa ni lazima alipe kiasi cha fedha kulingana na vipimo vya hema la mkutano. Hii ni sadaka yake atakayonitolea.
Shirikisha
Soma Kutoka 30Kutoka 30:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nacho watakachotoa ni hiki, kila mtu apitaye kwa wale waliohesabiwa atatoa nusu shekeli kwa kuiandama shekeli ya mahali patakatifu; (shekeli ni gera ishirini;) nusu shekeli kwa sadaka ya BWANA.
Shirikisha
Soma Kutoka 30