Kutoka 3:9
Kutoka 3:9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi, tazama, kilio cha wana wa Israeli kimenifikilia; tena nimeyaona hayo mateso ambayo Wamisri wanawatesa.
Shirikisha
Soma Kutoka 3Kutoka 3:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Naam, kilio cha Waisraeli kimenifikia; nimeona jinsi Wamisri wanavyowatesa.
Shirikisha
Soma Kutoka 3Kutoka 3:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi, tazama, kilio cha wana wa Israeli kimenifikia; tena nimeyaona hayo mateso ambayo Wamisri wanawatesa.
Shirikisha
Soma Kutoka 3