Kutoka 3:7
Kutoka 3:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Nimeyaona mateso ya watu wangu walioko nchini Misri na nimekisikia kilio chao kinachosababishwa na wanyapara wao. Najua mateso yao
Shirikisha
Soma Kutoka 3Kutoka 3:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA akasema, Hakika nimeyaona mateso ya watu wangu walioko Misri, nami nimekisikia kilio chao kwa sababu ya wasimamizi wao; maana nayajua maumivu yao
Shirikisha
Soma Kutoka 3