Kutoka 3:4
Kutoka 3:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu alipoona kwamba Mose amegeuka kukiangalia kichaka, akamwita pale kichakani, “Mose! Mose!” Mose akaitika, “Naam! Nasikiliza!”
Shirikisha
Soma Kutoka 3Kutoka 3:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA alipoona ya kuwa ameenda ili atazame, Mungu akamwita kutoka katikati ya kile kichaka, akasema, Musa! Musa! Akaitika, Mimi hapa.
Shirikisha
Soma Kutoka 3