Kutoka 3:3
Kutoka 3:3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Musa akasema, Nitageuka sasa, niyaone maono haya makubwa, na sababu kijiti hiki hakiteketei.
Shirikisha
Soma Kutoka 3Kutoka 3:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, akajisemea, “Hiki ni kioja! Kichaka kuwaka moto na kisiungue? Hebu nitazame vizuri.”
Shirikisha
Soma Kutoka 3Kutoka 3:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Musa akasema, Nitageuka sasa niende nione kioja hiki, kwa nini kichaka hiki hakiteketei.
Shirikisha
Soma Kutoka 3