Kutoka 3:21
Kutoka 3:21 Biblia Habari Njema (BHN)
Tena nitahakikisha Wamisri wanawapendelea Waisraeli, na mtakapoondoka Misri, hamtatoka mikono mitupu.
Shirikisha
Soma Kutoka 3Kutoka 3:21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nami nitawapa watu hao kufadhiliwa mbele ya Wamisri; hata itakuwa, hapo mtakapokwenda zenu hamtakwenda kitupu
Shirikisha
Soma Kutoka 3