Kutoka 3:11
Kutoka 3:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini Mose akamwambia Mungu, “Mimi ni nani hata nimwendee Farao na kuwatoa Waisraeli nchini Misri?”
Shirikisha
Soma Kutoka 3Kutoka 3:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Musa akamwambia Mungu, Mimi ni nani, hata niende kwa Farao, nikawatoe wana wa Israeli watoke Misri?
Shirikisha
Soma Kutoka 3