Kutoka 3:1
Kutoka 3:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Siku moja, Mose alikuwa anachunga kundi la kondoo la baba mkwe wake, Yethro, kuhani wa Midiani. Mose alilipeleka kundi hilo upande wa magharibi wa jangwa, akaufikia mlima Horebu, mlima wa Mungu.
Shirikisha
Soma Kutoka 3Kutoka 3:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi huyo Musa alikuwa akilichunga kundi la Yethro mkwewe, kuhani wa Midiani; akaliongoza kundi nyuma ya jangwa, akafika mpaka mlima wa Mungu, hata Horebu.
Shirikisha
Soma Kutoka 3