Kutoka 29:29
Kutoka 29:29 Biblia Habari Njema (BHN)
“Baada ya kufa kwake Aroni, mavazi yake matakatifu yatakabidhiwa wazawa wake, nao watayavaa siku yao ya kupakwa mafuta na kuwekewa mikono.
Shirikisha
Soma Kutoka 29Kutoka 29:29 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na hayo mavazi matakatifu ya Haruni yatakuwa ya wanawe baada yake, wayavae watakapotiwa mafuta, na watakapowekwa kwa kazi takatifu.
Shirikisha
Soma Kutoka 29