Kutoka 28:6
Kutoka 28:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nao waifanye naivera kwa nyuzi za dhahabu, buluu, zambarau na nyekundu, na kitani nzuri yenye kusokotwa kwa ustadi.
Shirikisha
Soma Kutoka 28Kutoka 28:6 Biblia Habari Njema (BHN)
“Watakitengeneza kizibao cha kuhani kwa nyuzi za dhahabu na sufu ya rangi ya buluu, zambarau na nyekundu, na kitani safi iliyosokotwa, na kukitarizi vizuri.
Shirikisha
Soma Kutoka 28Kutoka 28:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nao waifanye naivera kwa nyuzi za dhahabu, buluu, zambarau na nyekundu, na kitani nzuri yenye kusokotwa kwa ustadi.
Shirikisha
Soma Kutoka 28