Kutoka 28:2-3
Kutoka 28:2-3 Biblia Habari Njema (BHN)
Utamshonea ndugu yako Aroni mavazi matakatifu ili apate kuonekana mwenye utukufu na mzuri. Waagize mafundi wote ambao nimewapa maarifa wamtengenezee Aroni mavazi ili awekwe wakfu kwa ajili ya kazi ya ukuhani.
Shirikisha
Soma Kutoka 28Kutoka 28:2-3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nawe utamfanyia Haruni ndugu yako mavazi matakatifu, kwa utukufu na kwa uzuri. Nawe utawaambia watu wote wenye uwezo wa hali ya juu, niliowapa ubingwa wamfanyie Haruni mavazi ili awekwe wakfu anitumikie katika kazi ya ukuhani.
Shirikisha
Soma Kutoka 28Kutoka 28:2-3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nawe utamfanyia Haruni ndugu yako mavazi matakatifu, kwa utukufu na kwa uzuri. Nawe utawaambia watu wote wenye moyo wa hekima, niliowajaza na roho ya hekima wamfanyie Haruni mavazi ili kumtakasa anitumikie katika kazi ya ukuhani.
Shirikisha
Soma Kutoka 28