Kutoka 25:30
Kutoka 25:30 Biblia Habari Njema (BHN)
Meza hiyo utaiweka mbele ya sanduku la agano, na juu ya meza hiyo utaiweka ile mikate ya kuwekwa mbele yangu daima.
Shirikisha
Soma Kutoka 25Kutoka 25:30 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nawe utaiweka mikate ya wonyesho juu ya meza mbele yangu daima.
Shirikisha
Soma Kutoka 25