Kutoka 25:10
Kutoka 25:10 Biblia Habari Njema (BHN)
“Waisraeli watengeneze sanduku la mbao za mjohoro, lenye urefu wa sentimita 110, upana sentimita 66, na kimo sentimita 66.
Shirikisha
Soma Kutoka 25Kutoka 25:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nao na wafanye sanduku la mti wa mjohoro; urefu wake na uwe dhiraa mbili na nusu, na upana wake dhiraa moja na nusu, na kwenda juu kwake dhiraa moja na nusu.
Shirikisha
Soma Kutoka 25