Kutoka 25:1-2
Kutoka 25:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Waambie Waisraeli wanipe michango ya matoleo, nawe upokee kwa niaba yangu. Utapokea kutoka kwa mtu yeyote atakayetoa kwa moyo mkunjufu.
Shirikisha
Soma Kutoka 25Kutoka 25:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA akanena na Musa, akamwambia, Waambie wana wa Israeli kwamba wanitwalie sadaka; kila mtu ambaye moyo wake wampa kupenda mtatwaa kwake sadaka yangu.
Shirikisha
Soma Kutoka 25