Kutoka 23:2 - Compare All Versions
Kutoka 23:2 BHN (Biblia Habari Njema)
Usifuate genge la watu kutenda uovu, wala usijumuike na genge la watu kutoa ushahidi mahakamani ili kupotosha haki.
Shirikisha
Kutoka 23 BHNKutoka 23:2 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Usiwafuate walio wengi kutenda uovu; wala usitie ushahidi wako katika neno lolote kwa kugeukia kando na kuandamana na mkutano ili kupotoa hukumu
Shirikisha
Kutoka 23 SRUVKutoka 23:2 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usiandamane na mkutano kutenda uovu; wala usitie ushahidi wako katika neno lo lote kwa kugeukia kando na kuandamana na mkutano ili kupotoa hukumu
Shirikisha
Kutoka 23 SUVKutoka 23:2 NEN (Neno)
“Usifuate umati wa watu katika kutenda mabaya. Unapotoa ushahidi kwenye mashtaka, usipotoshe haki ukijumuika na umati wa watu
Shirikisha
Kutoka 23 NEN