Kutoka 23:16
Kutoka 23:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtaadhimisha sikukuu ya mavuno ya kwanza ya kazi zenu na ya mavuno ya mashamba yenu. Mtaadhimisha sikukuu ya kukusanya mavuno mwishoni mwa mwaka mnapokusanya mazao ya kazi zenu.
Shirikisha
Soma Kutoka 23Kutoka 23:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
tena, sikukuu ya mavuno, hayo malimbuko ya kazi zako za kupanda mashambani; tena, sikukuu ya kukusanya, mwisho wa mwaka, hapo utakapokusanya hayo uliyoyataabikia shambani.
Shirikisha
Soma Kutoka 23