Kutoka 21:32
Kutoka 21:32 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Fahali akimpiga mtumwa wa kike au wa kiume, mwenye fahali atalipa shekeli thelathini za fedha kwa bwana mwenye mtumwa, na fahali ni lazima auawe kwa mawe.
Shirikisha
Soma Kutoka 21Kutoka 21:32 Biblia Habari Njema (BHN)
Kama ng'ombe huyo akimpiga pembe mtumwa wa kiume au wa kike, mwenye ng'ombe atamlipa bwana wa huyo mtumwa fedha zenye thamani ya shekeli thelathini, na huyo ng'ombe lazima auawe kwa kupigwa mawe.
Shirikisha
Soma Kutoka 21Kutoka 21:32 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ng'ombe akimtumbua mtumwa mume au kijakazi; mwenye ng'ombe atampa bwana wao shekeli thelathini za fedha, naye ng'ombe atauawa kwa kupigwa kwa mawe.
Shirikisha
Soma Kutoka 21