Kutoka 20:7
Kutoka 20:7 Biblia Habari Njema (BHN)
“Usilitaje bure jina langu mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako. Maana mimi Mwenyezi-Mungu sitaacha kumwadhibu anayetumia jina langu vibaya.
Shirikisha
Soma Kutoka 20Kutoka 20:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Usilitaje bure jina la BWANA, Mungu wako, maana BWANA hatamhesabia kuwa hana hatia mtu alitajaye jina lake bure.
Shirikisha
Soma Kutoka 20