Kutoka 20:5
Kutoka 20:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Usiisujudie wala kuitumikia; kwa kuwa mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu. Nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha hao wanichukiao.
Shirikisha
Soma Kutoka 20Kutoka 20:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, BWANA, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao
Shirikisha
Soma Kutoka 20